Mshauri wa CCM na Msekwa: JamiiForums tishio kwa CCM; wadai ni ya CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Haya sasa, haya sasa, Msekwa bila kujijua anaipromote JF na mimi nampa big up kubwa sana.

asante sana mzee wetu ila unachotakiwa au mnachotakiwa ni kujiregister humu ndani ili tubishane humu kwa hoja humu hakuna atakayekufungia mlango unamwaga hoja na sisi tunamwaga ,hapa walikuwepo/wapo watu kama Malaria Sugu, Majimshindo, Msimamo Mkali, hawa jamaa mimi nawakubali sana wanaleta changamoto nzuri sana kwenye forum yetu.

Pius anatakiwa aje humu ndani na sio kupiga kelele huko nje tu haitoshi.
 
Teh, teh, teh! Angefanya vyema Mzee Msekwa mwenyewe kujiunga hapa na kuweka kauli yake hii kwenye Udaku na Jokes.
Anyway, tukumbuke wana JF, binadamu si kama samaki kuwa kadiri anavyokuwa mzee ndo huzidi akili. M

zee wetu anazeeka vibaya. Ninamheshimu sana huyu mzee wangu huyu, lakini kwa hili amechemsha. Inaonesha si mbali CCM itaanza kuogopa hata kivuli chake sio JF tu.
 
sidhani kama yupo sahihi maana unaposema kitu mbele ya watu wenye akili timamu unatakiwa utoe ushahidi inahatarisha usalama kivipi? usiongee kama juha anavokurupuka usingizini
 
Waache kukiogopa kuvuli chao, wafanye kazi waliyowaahidi watanzania na wataona mambo yanakwenda vizuri. Wafahamu kuwa adui yao si JF, bali ni ufisadi, umaskini, kupanda kwa gharama za maisha na vitu kama hivyo
 
Chonde Chonde mheshimiwa JF. Ukombozi wa Misri ulipatikana kwa kutumia fursa kama hii, CCM wanajua hili. Tusipuuze tishio la CCM juu ya Jamii Forum, wanaweza kufanya lolote lile kwani ni wanganganizi kama swahiba wake JK, Mr. Ghabgo.

Ombi langu kwa mwenye server ya JF ni kuwa anahakikisha anafanya backup on daily basis, haswa remote backup na ikiwezekana server ihamishiwe nje ya hii Tanganyika.
 
hapo ndipo upeo wao ulipoishia, tusiwalaumu sana. nguvu ya umma ndiyo itakayowasaidia kuona mbele zaidi
 
Hongera wana JF kwa juhudi zenu hadi Jf inaonekana ni Mwiba kwa ccm.
. Hahahahaha msekwa okwenda tukoleki. Suba bukerebe au bunda owanu oze kutege emfwi.... Yaani msekwa anaropoka tu hana la kufanya. Jamiiforum iko juu kama facebook iliyomtoa mubarakat. Soma alama za nyakati baba. Kampile bwachamawe mwozo we. Msekwa was too old twenty years ago. If he die today its a natural course. If you hit by a car its a natural course. If you would have been younger you would have got out of the way. Crazy. Msekwa is a kar war heroe who got captured..... Do not support someone who got captured,... I support man doctor........ Na hivi visichana vibunge vya ccm navyo vinaenda kutia aibu tu bungeni. Haya mambo ya vimini
 
Hao wanatakiwa ku copy na ku paste hizi changamoto za jf kama walivo paste katiba ya kenya....Mbona nchii hii leo inaongozwa na changamoto za CDM? Kila wanachofanya sasa ni maelekezo ya chadema ivo basi wachukue changamoto za JF Kutuongoza...none sense
 
Ha ha ha h ah ah shame shame shame shame eti mtu anakalia kuushutumu mtandao wa wanajamii huru for their ignorance they dont know or they are pretending that what they reap what they had sown, HAYO NI MATUNDA YENU JAMANI MSITAFUTE VISINGIZIO
 
mhh naye amekosa chakuongea kama ni kweli...jamii ngapi ya watanzania inafikiwa na jf mpaka wapate kimuhemuhe
 
Ha ha haaaaa acha kudanganya watu ww, face book kuna watu makini na wana constructive ideas kuliko hapa JF. JF tumepoteza mwelekeo tujivue magamba
Jivue mwenyewe. Wafuate wenzako wa wa Chama cha Magamba. Sisi wengine ni mwendo mdundo tu, mpaka kieleweke.
 
yayayayayayayayaaaaaaaaaaaaaaa watakoma miaka hii. Waache wazidi kuitangaza JF yetu!
 
JF wajipange upya siasa za kuwalipa kina majimshindo kuja kuandika upupu humu hazitawasaidia

umemsahau na Kashaka. Wamekuwa wakiandika upupu lakini wameshindwa na nguvu ya umma. Sasa jf imeonekana tishio maana kama wamewalipa hao wajinga wajinga hela nyingi halafu wakakumbwa na nguvu ya umma hakuna jingine wanaloweza kusema!
 
Ha ha haaaaa acha kudanganya watu ww, face book kuna watu makini na wana constructive ideas kuliko hapa JF. JF tumepoteza mwelekeo tujivue magamba

Sasa unatafuta nini hapa, huwezi hata kutofautisha public forum na social network? Kweli umefumbwa macho!
 
Taarifa ya habari sasa hivi makamu m/kiti ccm Pius msekwa anasema lazima chama kijipange kukabiliana rasmi na jamiiforums,kisa eti inaongoza kwa kukipaka matope chama chao.alikuwa anawatambulisha viongozi wapya katika hafla iliyohudhuriwa na umati kiduchu kiasi TBC Iliogopa kuonyesha picha rasmi ya mahudhurio.

Mimi nimetazama itv watu walikuwa wengi lakini siyo umma. Walikuwa ni viongozi wao wa chama kutoka ngazi mbalimbali. Walitumia nafasi hiyo pia kuwakabidhi kadi upya wanachama wao
 
Taarifa ya habari sasa hivi makamu m/kiti ccm Pius msekwa anasema lazima chama kijipange kukabiliana rasmi na jamiiforums,kisa eti inaongoza kwa kukipaka matope chama chao.alikuwa anawatambulisha viongozi wapya katika hafla iliyohudhuriwa na umati kiduchu kiasi TBC Iliogopa kuonyesha picha rasmi ya mahudhurio.

Tatizo mafisadi ukiwaambia ukweli wao wanadhani unawapaka matope!
 
Tatizo la jf ni kumtaja riz1. Ndiyo maana msekwa na wenzake wanachukia. Labda watalikomendi govt iifunge jf!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom