Mshangazi wa JF ni Mwanaume

Mshangazi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
1,140
Reaction score
4,520
Wakuu mimi ni mchunguzi sana. Nimefanya utafiti na kumfatilia kwenye mwandiko wake na vile anavyocomment kwenye post za wanajf mbalimbali hapa jukwaani na nikapata uthibitisho pasi na shaka kwamba Mshangazi ni mwanaume kabisa na ndevu zake kama FaizaFoxy

Anayepinga aje na evidence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…