Mshangao wa nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mshangao wa nini?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Indume Yene, Apr 6, 2011.

 1. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Wanajamvi wenzangu,
  Nimekutana na hii picha samuwea, katika hii picha wengi wao walikuwa wanamuangalia mpiga picha. Lakini cha kushangaza, sijui huyo mama mwenye vikuku 2 alikuwa anaangalia wapi!! Sina hakika alikuwa anahesabu nini kutoka kwa JK. Wadau mnasemaje? Angalia picha mwenyewe.

  [​IMG]
   
 2. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  :rip::rip::rip::rip::rip:
   
 3. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  alivaa vikuku alijuwa mzee anapendaga sana mambo hayo
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Alikuwa akifiria appointment alopewa na mheshimiwa na jinsi ya kurudisha fadhila. but nawachukia wamama au wababa wanaobehave kama teenagers!
   
 5. Zegreaty

  Zegreaty JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Chakula ya baba hiyo.........:noidea::noidea:
   
 6. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #6
  Apr 6, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Huni hilo mama we acha tu. Angalia lilivyomvalia Sam 6 kwenye picha za home page ya HakiElimu HakiElimu - Home !! Nguo ya usiku ya kwenye kitchen party kwenye offical event ya HakiElimu!! Nafikiri ukilisemesha vizuri tu linakujibu mara moja.

  Niliwahi kulisikia pale shoppers plaza linamwambia mwenzie kuhusu mume wa rafiki yake kuwa huyo rafiki yao anajifanya smart wakati mumewe katembea na housegirl wake!! Linapatikana pale kwenye Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora opposite Ikulu.
   
 7. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Wewe MR mbona unam-RIP mwana wa watu wakati anatesa Ikulu?
   
Loading...