Mshana jr msaidie huyu jamaa!!

tatizo kapeleka ua na kuomba Papuchi on same day....was supposed to give it some time
 
Hapo bila kutoa mistari ya vitabu vitakatifu hali ya hewa itazidi kuwa mbaya btw mshana jr tumia uzoefu kurejesha amani
 
Last edited by a moderator:
Aise bila msaada hapo jamaa anakosa mambo hivi hivi sijui Honey Faith kapotelea wapi aise kutoka msaada hapa
 
Last edited by a moderator:
Hapo mmoja kakataa kwenda angaza kupima ngoma
 
Mchepuko umeshakuwa fertilized tayari hapo, jamaa kapewa taarifa anawaza mziki wa wife akija fahamu.
 
Nani anafaa sasa mkuu MO11 kusaidia mambo hapa irudi kwenye mstari

Acha ua ondoka bila kuongea kitu, atakufata mwenyewe na ua lake mkononi. Halafu fanya kama humuoni, akikusogelea weka kwapani, kesi imeisha mkuu, njia nzima ataongea yeye na kujichekesha chekesha.
 
Last edited by a moderator:
Hapo ni kichakani haoni mtu sio hasara kwa mwanaume kupiga magoti, kugalagala na kulia kwa sauti. Kupata mwingine kazi jamani!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…