Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,888
- 831,224
anatia huruma
Ndo maaana nikaamua kuwa mseja
anatia huruma
Mwenza wake ameyakataa maua!
Hali ya huyo jamaa ikikukuta kwa kweli lazima unyong'onyee.Yani ni sawa na kumpelekea yanga maua mekundu
Hali ya huyo jamaa ikikukuta kwa kweli lazima unyong'onyee.
Wewe ulitegemea furaha tele kutoka kwa mwenzio atakapopokea zawadi kutoka kwako cha ajabu matokea yanakuwa tofauti na ulivyotarajia
Ndo maaana nikaamua kuwa mseja
Hahaahaha weweeee
Headaches miss neddy unafikiri hii ni nzuri ukifika unafurushwa nayo
Ndo maaana nikaamua kuwa mseja
Anhaaa unammiss eee????????
Mapenzi pesa, Maua mpelekee nyuki, si ndio dadangu miss neddy
Umempigia??