Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
Umempigia??
hahaha nimemwandikia barua
Umempigia??
Haya, mda bado upo unawahi posta au unatumia DHL??
Jamaa kaambiwa Maua mpelekee nyuki. Kumsaidia jamaa hapo ni ngumu!
Kaka wewe ni mseja au Super Shaft inahitajika????
waaambien team yako kin mo11 utafiti n mr rocky wakupe course
Kamsaidie basii!anatia huruma
1,, 2, 3.. Naku. 1, 2, 3.. Nakup.. Nakupenda aaa.
Jamaa walichombezana JF ukumbi wa MMU, ikafika siku wakutane sehemu, looh! Kutahamaki kumbe ni dada yake wa kwanza kwa mama mkubwa! Duuuuuuh!