More Life…..More Opportunities…..More blessings brother
Mungu ibariki SIMBAKilichomshinda ni mpira tu. Kila akijifanya kutabiri wapi linabuma!
That's why i hate politikkwenye siasa tu anateseka na hawa maccm.
Ungesema sasa yuko vipi au mpaka usajili Id nyingine ndio utakuwa huru kusema kuwa mshana & DonNalimison wote ni binadamu tu wa kawaiiidaHayuko kama mnavyo msifia.
Usisite kunishirikisha..Top 3 ya walionishawish kujiunga jf ni huyu bro......dah more blessings kaka.....uwepo wako ni darasa tosha kwetu......ila umeacha ulonzi .....inaniuma sana manake jambo langu halitafanikiwa tena
Na mimi nilifungulie uzi wa kunifagilia siku mojaMore Life…..More Opportunities…..More blessings brother🙏