Sina msamiati wa kuacha cute b wala wa kutoa talaka
Hahahaaa bora hata uninunulie na mafuta niwe mweupee
Hizo suti zao
Hahhahaaaaa hahhahaaaaa halafu iweje sassa
Mmh kazi unayo, kwa huyu mauzauza huyakwepi hata
Hahhahaaaaa HARUFU user name yako inahusika
Jamani tusitengane haya ndio majina yetu jamani ya kiAfrika zaidi.Hahahahaaaaahaaaa hiyo username haivutiii hata kumfuata pm khe khe kheee
Jamani tusitengane haya ndio majina yetu jamani ya kiAfrika zaidi.
Sie wengine swaga hatuna, jamani tusitengane.
Jamani Zari nasubiri, hapa nilipo nimetundikiwa diripu, hii sijui ya ishirini na ngapi, ile sumu nusura inipeleke kuzimu.
Kwa bahati nzuri wameniwahisha hospitalini.
Ndio napata fahamu sasa hivi tangu ile siku nliokunywa sumu
Mamaamaweeee cute b wahi Fasta huku tasavali sana
Mbona ulinitoroka honeymoon? Kweli wew kizururajii
Jamani dalingi niliaga lakini, utakuwa umesahau tuu
Hahahahaaaaa atoto njoo ona vituko vya Mshana Jr. Ananiita dalingii duuuh