Mshana jr,Cute B katika ubora wao

Mshana jr,Cute B katika ubora wao

Where there is politics and economics, there is no morality” (K.W.F Schiegel).

Hili lzma zitto ajue tunataka mabdliko ya kisiasa kwa njia yyte ile
 
Haya mkuu kazi kwako

Waanameremeta wanameremeta...

Waanawakawaka wanawakawaka...

Hahahaaaa bwana mkubwa hana shidaa kwa kuwa watu wameona tunaendana hamna shida hahaha

Hiyo suti yangu mshana jr alininunulia dubai

Yaan nimesha fall in love kwake ghafla

Wewe mtu umekomesha mbavu zangu kweli.... sumbai njoo huku umpe mshana jr baraka zakeee

nimependa sana

Zaali la mentaliii........cc sumbai
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom