Mshambuliaji VPL Aamua Kulima Mahindi

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,142
13,216
chirwa%2Bshamba2.jpg

Picha za mshambuliaji Wwa Yanga Obrey Chirwa kujikita katika kilimo zimezua mjadala mkubwa.

Chirwa ambaye yuko katika mgomo akitaka kumaliziwa fedha zake za usajili anaonekana akiendelea na kilimo ikiwa ni siku chache kuiambia Yanga immalizie fedha zake za usajili ndiyo arejee nchini na kuendelea kuitumikia klabu hiyo.

Hata hivyo Yanga inaonekana kutokuwa na uwezo wa kulipa fungu hilo kwa pamoja.
 
Hahahahahaha nikiwa kidato cha pili nilitaka kuwa boxer, baba akaniambia "Baba Sophia ni boxer pia lakini ni mwanajeshi hebu fanya kuangalia na maisha mengine, Tanzania hatujaendelea kiasi cha kuchukulia michezo kama ajira"

My father was wrong, siyo Tanzania tu kwamba michezo siyo ajira bali hadi kwa kina Chirwa michezo siyo ajira.
 
Ila jamaa ana pesa 100M za yanga tu anazo mfukoni
 
Back
Top Bottom