passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,516
- 12,488
Hesabu 35:33. "Hivi hamtaitia najisi nchi ambayo mnakaa;kwakuwa damu huitia nchi unajisi;wala hapana sadaka itoshayo kwa ajili ya nchi;kwa ajili ya damu iliyomwagika ndani yake isipokuwa ni damu ya huyo aliyemwaga". Mungu amesikia vilio vya damu zisizo na hatia zilizomwagwa tarehe 29 na kuendelea na wauaji hamuwezi kushinda kwa namna yoyote na mtalipia dhambi zenu.