Mshahara wa Tsh. 700'000/=, Dar es Salaam

Aisee Jf kuna siku ikikuamkia utajuta.
Mie kuna siku nilipost kitu basi wiki sijaingia,maana watu walininanga hadi basi.
Hahahah,Burdani kweli,sijui kama kesho hafungi virago akahamia Dar.

Lakini kwa pesa kama hiyo na unasita kuja Dar basi usije.
Maana out of kulipwa hizo pesa Jiji linachangamoto nyingi sana hasa kwasie wamkoani.
Waliohamia Dar wote walijiripua.Sasa kama utaweza we zamia tu
 
napata mshahara wa 75elfu kwa mwez, ila nimepanga,nina mke na watoto na nafanya malengo yng yanatimia ikiwa moja wapo nimeshanunua uwanja mbagala, je ningelipwa lak7 ningekuwa wapi?
 
duh ...... you must be smart
 
napata mshahara wa 75elfu kwa mwez, ila nimepanga,nina mke na watoto na nafanya malengo yng yanatimia ikiwa moja wapo nimeshanunua uwanja mbagala, je ningelipwa lak7 ningekuwa wapi?

uongo uliotukuka ndugu,
 
napata mshahara wa 75elfu kwa mwez, ila nimepanga,nina mke na watoto na nafanya malengo yng yanatimia ikiwa moja wapo nimeshanunua uwanja mbagala, je ningelipwa lak7 ningekuwa wapi?

We muogope Mungu acha uongo tupe mchanganuo wako

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kka wa elfu 75,, kma huna kitu kingine kinachokuinguzia kipato bhas utakua unaish maisha dun sana,,,
n nafikir ata nyumba ulopanga hata umeme haina,,
 
Back
Top Bottom