CYBERTEQ
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 7,341
- 4,074
Hivi maisha dar kwa laki net yanaenda? ushauri plz,
haitoshi kabisa:
pango laki 250 unabakiwa 450,000
chakula kila siku ukijibana elf 15x30=450,000 (imeisha)
Nauli elf 2x30=60,000
vocha ya kuingia jf 1000x30=30,000
vocha ya cheka kupigia yule dem unayemfukuzia 1000x30=30,000
beer mbili kila siku 2500x30=75,000
Pesa ya Guest kila wiki elf25x4=100,000
nauli ya dem wako kila wiki 20x4=80,000
chakula na vinywaji kila weekend elf40x4=160,000
Kumbuka ukiingia kazini utakuta wenzako tayari wana tu-Spacio, na wewe utazama benki kukoka, wanakuwa wanakula nusu ya mshahara, wakati huo unatakiwa utie mafuta kwenye gari!!!! kimbia vibaya usije mjini baki hukohuko kwa mjomba kula na kulala, huku watu mishahara yao wote inaanzia lau milioni mbili!