Benjamin10
JF-Expert Member
- Dec 31, 2016
- 389
- 554
Habari wakuu naomba kuwasilisha hoja kua mshahara wa kiasi cha Tsh. 350,000 ni mkubwa mno kwa kijana anayeanza kazi na hajaoa.
Tunaomba serikali itupunguzie mshahara.
Tunaomba serikali itupunguzie mshahara.