Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,118
Ngoma imoBado ni mapema sana.
Mishahara ya watumishi wa Serikali huwa inatoka kati ya tarehe 24-30 ya mwezi husika.
Kwa haraka haraka sana mshahara huenda ukatoka Jumatatu(26/Sep/2016).
Kuhusu nyongeza ya mishahara na malimbikizo ya nyuma hilo suala HALIPO kwa mwezi huu. Tusubiri zaidi na tukiweza kutusahau kabisa. Kwa sababu.
1/Mpaka sasa hakuna Kiongozi yoyote wa serikali aliyejitokeza hadharani kulikumbushia, kulisisitizia, kujitambia au kulifafanua. Kwa kifupi kabisa kila mhusika yupo Kimya.
2/Hakuna mwangi wowote kwenye vyombo vya habari kuelezea hizo tetesi za Nyongeza. Ni matumaini hewa tu baadhi ya watu wanayo.
3/Mpaka sasa "mtukufu" bado hajafunguka kuhusu hilo. Katika mazingira hayo, hakuna "pimbi" yoyote anayeweza kukurupa kuongeza pesa kwa mtu.
4/Kwa sasa Serikali haina Pesa za kutosha, mahitaji ni makubwa sana, mipango ya ghafla ghafla ni mingi mno, hivyo suala la kuongeza mishahara ni zito na tata kwa sasa.
5/Kipaumbele cha Kwanza kwa sasa cha serikali ni kuhamia Dodoma, cha Pili ni kushughulikia Tetemeko la Kagera na cha tatu ni kukusanya kodi zaidi. Hizo blah blah za kuongeza mishahara sio kipaumbele kikuu.
[HASHTAG]#HAPA[/HASHTAG] KAZI TU.
Wana jamvi tupeane taarifa ndg zangu
Tayari mzeee Kimbilia NMB ATM
Sisi ni wasakatonge..!Mzee wa ngada na MU ARSENAL inaezekana hamfanyi kazi serkalini
Mbona mshahara tangia June ilikuwa tarehe 22 ukichelewa sana ni 24/25Bado ni mapema sana.
Mishahara ya watumishi wa Serikali huwa inatoka kati ya tarehe 24-30 ya mwezi husika.
Kwa haraka haraka sana mshahara huenda ukatoka Jumatatu(26/Sep/2016).
Kuhusu nyongeza ya mishahara na malimbikizo ya nyuma hilo suala HALIPO kwa mwezi huu. Tusubiri zaidi na tukiweza kutusahau kabisa. Kwa sababu.
1/Mpaka sasa hakuna Kiongozi yoyote wa serikali aliyejitokeza hadharani kulikumbushia, kulisisitizia, kujitambia au kulifafanua. Kwa kifupi kabisa kila mhusika yupo Kimya.
2/Hakuna mwangi wowote kwenye vyombo vya habari kuelezea hizo tetesi za Nyongeza. Ni matumaini hewa tu baadhi ya watu wanayo.
3/Mpaka sasa "mtukufu" bado hajafunguka kuhusu hilo. Katika mazingira hayo, hakuna "pimbi" yoyote anayeweza kukurupa kuongeza pesa kwa mtu.
4/Kwa sasa Serikali haina Pesa za kutosha, mahitaji ni makubwa sana, mipango ya ghafla ghafla ni mingi mno, hivyo suala la kuongeza mishahara ni zito na tata kwa sasa.
5/Kipaumbele cha Kwanza kwa sasa cha serikali ni kuhamia Dodoma, cha Pili ni kushughulikia Tetemeko la Kagera na cha tatu ni kukusanya kodi zaidi. Hizo blah blah za kuongeza mishahara sio kipaumbele kikuu.
[HASHTAG]#HAPA[/HASHTAG] KAZI TU.
Acha kutumia laini ya Vodacom ndio wanakata pesa.Kuwa serious bana watu tunaliwa pesa yetu tunavyozidi kuangalia kwa mda mrefu
Ni 22-30 sio 24Bado ni mapema sana.
Mishahara ya watumishi wa Serikali huwa inatoka kati ya tarehe 24-30 ya mwezi husika.
Kwa haraka haraka sana mshahara huenda ukatoka Jumatatu(26/Sep/2016).
Kuhusu nyongeza ya mishahara na malimbikizo ya nyuma hilo suala HALIPO kwa mwezi huu. Tusubiri zaidi na tukiweza kutusahau kabisa. Kwa sababu.
1/Mpaka sasa hakuna Kiongozi yoyote wa serikali aliyejitokeza hadharani kulikumbushia, kulisisitizia, kujitambia au kulifafanua. Kwa kifupi kabisa kila mhusika yupo Kimya.
2/Hakuna mwangi wowote kwenye vyombo vya habari kuelezea hizo tetesi za Nyongeza. Ni matumaini hewa tu baadhi ya watu wanayo.
3/Mpaka sasa "mtukufu" bado hajafunguka kuhusu hilo. Katika mazingira hayo, hakuna "pimbi" yoyote anayeweza kukurupa kuongeza pesa kwa mtu.
4/Kwa sasa Serikali haina Pesa za kutosha, mahitaji ni makubwa sana, mipango ya ghafla ghafla ni mingi mno, hivyo suala la kuongeza mishahara ni zito na tata kwa sasa.
5/Kipaumbele cha Kwanza kwa sasa cha serikali ni kuhamia Dodoma, cha Pili ni kushughulikia Tetemeko la Kagera na cha tatu ni kukusanya kodi zaidi. Hizo blah blah za kuongeza mishahara sio kipaumbele kikuu.
[HASHTAG]#HAPA[/HASHTAG] KAZI TU.
Hebu tulieni, kwani mwisho wa mwezi teyari!Wana jamvi tupeane taarifa ndg zangu
Hii nchi ina watu wa ajabu!!Acha utani na maisha ya watu hawajaweka tuko serious unaleta utani