zunya
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 1,529
- 1,074
endelea kujidanganya na story zako za vijiweni, heshimu mtumish wa uma acha dharau kijana...pesa zako peleka kwa mkeo!!Mshahara wa mtumishi wa umma Tanzania ni HAND-TO-MOUTH, unaingia na kutoka hapohapo.hakuna cha kujivunia, yani Mimi mshahara wangu naweza kuwalipa watumishi zaidi ya kumi wa laki 5 tano.huwa nawaonea sana huruma.