Heee kumbe ndo mnachelewa hivo Dec 😁Tupewe hela mapema kabla bidhaa hazijapanda bei.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kuajiriwa ni utumwa, unawaza upate hivyo vi laki 7ukalewee ujuha mtupu
mbona umetaja mshahara wangu badala ya kutaja mshahara wa mtoa mada.., sio poaKuajiriwa ni utumwa, unawaza upate hivyo vi laki 7ukalewee ujuha mtupu
Hahahaaa. Lol.Tupewe hela mapema kabla bidhaa hazijapanda bei.