Mshahara wa Mwezi wa 7 kimya

Yap mzee ndio wana mkataba sasa, lakini haiwezi fika masaa 48 malipo ya mshahara ni tofauti sana yakizidi sana ni masaa 6 utofauti
Unataka kuniambia kama nmb wamewekwa leo wengine ni mpaka kesho au keshokutwa? Sijaelewa kwanini itumike nmb as intermediary, kwanini wasi deposit direct mfano crdb

Sent from my HRY-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Ok Mkuu kumbe mambo yashabadilika nilijua wanapewa kama zamani.
 
Paul Makonda naona umekuja kudai mshahara Jamii Forum tulia Dawa ikuingie si umekuwa jobless wewe
 
Kwani mwisho wa mwezi umefika?! Mbona leo trh 24?!
 
Unataka kuniambia kama nmb wamewekwa leo wengine ni mpaka kesho au keshokutwa? Sijaelewa kwanini itumike nmb as intermediary, kwanini wasi deposit direct mfano crdb

Sent from my HRY-LX1 using JamiiForums mobile app
NMB ndio wana mkataba kwa sasa walioshinda zabuni za huo mpunga kuwa unapitia kwao, zamani ilikuwa CRDB.

utofauti wa kupata mshahara huwa hauzidi masaa 6, kinyume na hapo ni kukiuka masharti ya mkataba na hakuna asiyejipenda afanye hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…