kweli haujatoka...? nataka nikope nikanunue nguo za sikukuu....Mpaka tarehe 31/5/2018😉😉
tayari toka janakweli haujatoka...? nataka nikope nikanunue nguo za sikukuu....
nakuja nikope tafadhali....tayari toka jana
Mimi ni mama lishe tu sio mtumishi wa umma. hahahahahahaahahaha. Labda ukaribie jioni uonje futari yangu. mchana sipiki, naheshimu mwezi mtukufunakuja nikope tafadhali....