Aha ha a hatari sana. Ndo maana wastaafu hufa mapema.Aisee ingekua unalipwa Tar 27 ingekua hatari mkuuu kuna watu mshahara ukichelewa masaa 2 tu wanatoka mapovu hatari humu
Si uanze kuangalia slip kama inaonyesha makato?Nmepokea mshahara kiduchu nmekatwa hela hta sielewi n ya nn,msaada please naweza kupeleka madai yangu wapi?
Niko nje ya mji slip naipata wapi mkuu?Si uanze kuangalia slip kama inaonyesha makato?
Lakini ujue wakipokea tarehe 21 let say hadi tarehe 21 ya mwezi mwingine inakuwa ni mwezi uliotimia kabisa...Aisee ingekua unalipwa Tar 27 ingekua hatari mkuuu kuna watu mshahara ukichelewa masaa 2 tu wanatoka mapovu hatari humu
Kama ni mtumishi wa Uma ingia kwenye website ya Utumishi, jisajili kwa kutumia check number yako ya kwenye payroll kama sikosei then kuna sehemu wawezapata.Niko nje ya mji slip naipata wapi mkuu?
Ni website ya Wizara ya fedha na mipangoKama ni mtumishi wa Uma ingia kwenye website ya Utumishi, jisajili kwa kutumia check number yako ya kwenye payroll kama sikosei then kuna sehemu wawezapata.
ni mpaka tarehe 38 may, 2018Nyamaza huko! Mshahara mshahara huna chanzo kingine? Mwezi huu mshahara mpaka tarehe 15 Juni utakoma!!
Niko nje ya mji slip naipata wapi mkuu?
Unafanya wapi kazi mkuu,mbona hata kuandika hujui?Dah,waajiri wengine nao.Kama taito inavyosema hapo juu, leo nikapata message kitu kimeingia, kwa sisi wa TGO umewahi sijui wenzetu TG zingine.
A u ni kwa ajili kununua iftari? AL eid Je? Tutapewa ?
sio website ya utumishi bwana ni ya wizara ya fedha ndugu, tafuta salary slip portal: Salary Slip PortalKama ni mtumishi wa Uma ingia kwenye website ya Utumishi, jisajili kwa kutumia check number yako ya kwenye payroll kama sikosei then kuna sehemu wawezapata.
Mpaka tarehe 31/5/2018😉😉