Mshahara wa mwezi March upo tayari

Mshahara wa mwezi March upo tayari

Mad Max , Mshuza2 na rafiki mahondaw. Nasikia kumeshanoga huko eti. 😀😀😀

Nipo Micasa hapa naubariki mshahara.

Nakumbuka nikiwa chuo bum likiingia siwezi kusoma kabisa. Ikibaki laki 1 au 50 hivi hapo utanipenda. Discussion zote, vipindi vyote na prepo naenda.

Same hadi sahivi, mzigo ukiingia nakua mzembe kazini hadi ukate.
 
Hahahaaa. We ni balaa aisee.

Yabidi ubadilike sasa.
 
Wale ambao mishahara haikutani ndio inawahusu hii.

_____________________________
" With or without religion, good people can behave well and bad people can do evil; but for good people to do evil - that takes religion.

Last time mshahara kukutana ilikua ninavo anza kazi. Aisee niliona mshahara mkubwa kinoma nikasema after miezi 3 nanunua bodaboda ya biashara, home kijijini naanza kujenga, nakumbuka mzigo ulipoingia wa kwanza nikawatumia home woote kila mtu nikamtoa kuanzia elfu 20 hadi 50 aisee nilikula baraka nyingi sana.

Kilichofuata Mungu ndio anajua. Mshahara kufika tarehe 10 ni muujiza.

Hapo mtu hujaoa, huna mtoto, husomeshi mdogo wako wala huishi na mtu.

Sijui kuna nini?
 
Wapendwa mshahara umetoka nendeni mkachote hela mje mlipe madeni ya maji, na vibanda vya chakula.

Msisahau nauli za watoto kurudi shule maana tar..17 imekaa kushoto.
Wenye mishahara hongereni sana
 
IMG-20200324-WA0002.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Last time mshahara kukutana ilikua ninavo anza kazi. Aisee niliona mshahara mkubwa kinoma nikasema after miezi 3 nanunua bodaboda ya biashara, home kijijini naanza kujenga, nakumbuka mzigo ulipoingia wa kwanza nikawatumia home woote kila mtu nikamtoa kuanzia elfu 20 hadi 50 aisee nilikula baraka nyingi sana.

Kilichofuata Mungu ndio anajua. Mshahara kufika tarehe 10 ni muujiza.

Hapo mtu hujaoa, huna mtoto, husomeshi mdogo wako wala huishi na mtu.

Sijui kuna nini?
Hahahaa, yaani pesa ya madafu ni shida.. kwa mwezi 850K inaisha hivi hivi na hapo hakuna bia.

_____________________________
" With or without religion, good people can behave well and bad people can do evil; but for good people to do evil - that takes religion.
 
Ngoja nifungue uzi, mshahara wa March na Salary Advance ishaisha.
 
Nipo Micasa hapa naubariki mshahara.

Nakumbuka nikiwa chuo bum likiingia siwezi kusoma kabisa. Ikibaki laki 1 au 50 hivi hapo utanipenda. Discussion zote, vipindi vyote na prepo naenda.

Same hadi sahivi, mzigo ukiingia nakua mzembe kazini hadi ukate.
Dah 😀😀😀
 
Maisha yale yale. Hatuna hela ya Mask na Sanitaiza. April mambo bado?
 
Back
Top Bottom