Mshahara wa mwezi Juni kuchelewa

Status
Not open for further replies.
Sidhani kama ni kweli hadi sasa nipo ktk stuli ndefu najenga heshima.
 
Iyo hazina ni ipi?
na wewe unayewaza mshahara ni mwalim nini>samahani lakini?
 
ni kweli mpaka sasa balance zina 2,011.09
duu sijui nitafika vp hiyo tarehe 5; nimesha kopa sana na wengingine nimewaahidi leo nitawapelekea hela zao na sijui nani atanielewa nikisema mshahara bado kwa sababu mara zote nimekuwa nikopa nakuwalipa tarehe 26.
Nafikiria jinsi ya kuandika dokezo la uongo aka kufisadisha ofisini kama bosi ataelewa (samahani watanzania wenzangu sina jinsi)

Mwanzo wa kulala juu ya miti kukwepa madeni
 
Hii nchi bna kila mtu ni msemaji wa serikali hivi imekaaje hii?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
vipi watalipa mshahara mpya au ndiyo mpaka obama aondoke maana watakuwa busy na mapokezi.

Wewe nawe vipi bana mshahara mpya si wa Julai umeelezwa huu ni wa Juni, hilo nalo unahitaji mtu aseme jamani mbona mwaka mpya wa fedha ni Julai?
 
Acha udaku watu washachukua chao

"To know the enemy is half the victory"
 
Taarifa za kuaminika kutoka hazina zina eleza kuwa kwa wafanyakazi wa serikali kama haujapata mshahara mpaka leo tar 26/6 basi uwezekano wa kucheleweshewa mshahara hadi tar 5/7 ni mkubwa sana,kwahiyo mnaombwa kuwa wavumilivu


Pole sana, upo wilaya gani nkasi? Wenzako tumeshachukua cha kwetu tayari huko mtapata mpaka Obama akiondoka.
 
Nikopeshe japo tulaki tunne best .... unajua tena sisi walimu ndo itakuwa balaa marambili...

Mi changu kishawekwa....sipo kwenye hilo janga
yani vimshahara vyangu vya miezi miwili nikupe vyote acha hizo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom