matfor tungs
Member
- Oct 18, 2012
- 69
- 9
acha uongo kijana!!wenzio tushachukua mda sana na karibu salio halisomi,pia ni wengi ambao tayri wamechukua!!sijui wewe upo serikali ipi!!
Taarifa za kuaminika kutoka hazina zina eleza kuwa kwa wafanyakazi wa serikali kama haujapata mshahara mpaka leo tar 26/6 basi uwezekano wa kucheleweshewa mshahara hadi tar 5/7 ni mkubwa sana,kwahiyo mnaombwa kuwa wavumilivu