King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,419
- 88,753
Nipo nipo porini Mkuu ,Pilika pilika za sikukuu kuleta mkaa town.Mkuu adimu sana.
Nipo nipo porini Mkuu ,Pilika pilika za sikukuu kuleta mkaa town.Mkuu adimu sana.
Minjingu au sio? HahahaNipo nipo porini Mkuu ,Pilika pilika za sikukuu kuleta mkaa town.




watumishi wa thelikali haoImeisha hiyooooooooMimi sector binafsi nimelipwa toka ijumaa.
Yes MINJINGU Mkuu.Minjingu au sio? Hahaha
Angalieni a/c zenu sasa
Kwani huezi kucheki salio kupitia Mobile? Au hela ikiingia kwenye account yako huwa hupati notification ya text?Mkuu nipe uhakika ili nijisogeze ATM kwa mkopo wa bodaboda asije nitolea mkanda.
Kwani huezi kucheki salio kupitia Mobile? Au hela ikiingia kwenye account yako huwa hupati notification ya text?


Hawa watumishi hawa,anashindwa nini kucheki salio kwanza?NitakupaWengine tushamaliza mishahara yetusikukuu ishakuwa mbaya
HahahahaManeno ya mkosaji

Kharidi analalamika , Gangana nae analazimisha.
Nimeingiza kadi yangu ya NBCmastercard ATM ya crdb nikaomba kutoa 500,000 /= ikakubari nikajua wamo!
Nashangaa naambiwa sina salio, wakati nilianza kupiga hesabu naanzia kwa mangi nipate supu ya mkia na castel lite mbili baridi ndo nifike home!!
Hizi huduma za mastercard zitakuja kuongeza ugonjwa maana hapa natoka hata ya daradara sina tena.
Ahsante mpendwaNitakupa