Mshahara wa mwanamke huishia hapa

Mshahara wa mwanamke huishia hapa

Acha kututusi baña kwahiyo sisi tunawaza nguo tu na vipodoz hatuna mawazo ya kimaendeleo........
 
1.Nguo
2.cosmetics
3.kwao
Kwa wale ndugu zangu mnaooa mtu si kwa sababu ya kumpenda bali kazi yake mtaishia kufa kwa presha na kufunja ndoa, wanawake pesa yao ina macho.
Nawambia nyie wanaume wavivu mnaotafuta mtelezeo.
ni kweli mkuu! hata siyatetei ni ma actress tu mpaka fikra. halafu ukiyaona unaweza sema yako vizuri kiakili lakini uyakute mahali yanaongea halafu hayajakuona utachefukwa na roho. ni bora wale walio mtaani wenye elimu zao kiasi wakiwezeshwa mtaji wanakuwa wazuri kuliko hawa walioko maofisini, wengi mapichapicha tu!
 
1.Nguo
2.cosmetics
3.kwao
Kwa wale ndugu zangu mnaooa mtu si kwa sababu ya kumpenda bali kazi yake mtaishia kufa kwa presha na kufunja ndoa, wanawake pesa yao ina macho.
Nawambia nyie wanaume wavivu mnaotafuta mtelezeo.

Yaani mkuu mijanaume ya siku inawaza kuoa mwamke mwenye kazi ili isaidiwe maisha. Ndiyo maana ndoa hazidumu wanapokuta mambo ndivyo sivyo. Mwanaume wenye mawazo ya hivyo nya..m,b..a..f kabisa halafu eti linataka liheshimike
 
kifupi sasa hivi tunapeleka fursa kwa wanawake wenye elimu ndogo na upeo na uvumilivu mkubwa wa maisha na wasio na maisha ya ku-copy kwenye tamthilia na ku-paste kwenye maisha yao. Hawa wenye kazi waoane na wanawake wenzao au wawe michepuko ya wenye kiu, kuoa NO!
 
1.Nguo
2.cosmetics
3.kwao
Kwa wale ndugu zangu mnaooa mtu si kwa sababu ya kumpenda bali kazi yake mtaishia kufa kwa presha na kufunja ndoa, wanawake pesa yao ina macho.
Nawambia nyie wanaume wavivu mnaotafuta mtelezeo.
Mkuu heshima yako, upo sahihi kabisa, huo ndio ukweli wa wanawake wengi, ukipigia mahesabu kipato cha mwanamke andika umeumia, nimeshuhudia wanawake wengi wanafanya kazi ila mpaka hela ya chumvi/kiberiti wanawaomba waume zao.
Ndio maana hata kwenye ndoa anayekuwa na furaha kubwa ni mwanamke na siyo mwanaume chunguza hilo utapata majibu.
Wahenga husema mwanamke hawi na furaha mpaka siku atakapo olewa na mwanamme furaha yake inaisha siku atakapo oa.
 
Acha kututusi baña kwahiyo sisi tunawaza nguo tu na vipodoz hatuna mawazo ya kimaendeleo........

Wakati nyumba wakati mwingine zinajengwa kwa shinikizo za wanawake! Wanaume tunasema, ngoja kwanza, usiwe na haraka. Mara utasikia anakwambia kuna kiwanja kinauzwa bei nafuu.Hadi unakubali yaishe
Labda aseme baadhi ya wanawake wanajijali tu na kujali kwao.
 
Ni kweli pesa yetu ina macho hapo umesema kwelii,sasa tusipojipamba mnatafuta waliojipambaa mutuwaaache Thamani ya mwanamke ni mavazii
 
wale ni wanawake kwa jinsia ila ni wanaume kifikra! si nyie mpaka ped unataka ununuliwe na kazi unayo....schwine kabisa!

inaonyesha wewe ni bahili kwani kumu nunulia ni kosa una sema hadi pedi acha dharau
 
Kwa hili kuna ukweli,ukitaka ugonvi anza kupanga matumizi ya mshahara wa mkeo uwone atakavyonuna.
 
inaonyesha wewe ni bahili kwani kumu nunulia ni kosa una sema hadi pedi acha dharau
unaweza kuita ni dharau but you all brought that thing...isingekuwa you guyz mmemua kuwa wazembe wa kila kitu hata vilivyovidogo saa ngapi mngedharaulika?

halafu you never want kukubali and learn and move one, all that you are good at ni kukimbilia ku-attack na kusema tunawadharau mara...the more we know about you..the more we find it is something to exploit and off we go! ladiesa we say it for your own good and kurudisha that respect you had before!
 
Duh! Kiswanglish hicho.
 
Kama mkeo anataka umnunulie kila kitu ilihali ana kazi basi mwanaume ujitambue kua 'una vuna ulichopanda' alafu unakuja huku kupiga kelele....
 
Back
Top Bottom