Mshahara wa Mwalimu

Mshahara wa Mwalimu

Ibilisi

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2017
Posts
3,465
Reaction score
5,586
Wakuu naomba kujua kiwango cha mshahara wa mwalimu wa shule ya msingi anayeanza kazi na wa mwalimu wa sekondari anayeanza pia kwa sasa.
 
una elimu gani? mwalimu wa serkali au wa binafsi? binafsi ya koromije au binafsi ya feza? binafsi ya feza au binafsi ya st. constantine, tanganyika, kilimanjaro, brebun?
Mimi si mwalimu. Naulizia mshahara wa mwalimu serikalini
 
una elimu gani? mwalimu wa serkali au wa binafsi? binafsi ya koromije au binafsi ya feza? binafsi ya feza au binafsi ya st. constantine, tanganyika, kilimanjaro, brebun?
Jamani muwe na busara basi, huyu jamaa kauliza swali ambalo majibu yake ni hayo uliotoa au unajifafanua jinsi ulivyo mjinga katika wajinga!!, siku zote jibu swali uliloulizwa, huna jibu kaa kimya sawa!
 
Si vyema kutaka kujua kila kitu umeshabishana sana vijiweni hukupata jibu sasa ya nn yote hio
Mkuu mimi si mtu wa vijiwe wala mabishano yasiyo na mantiki.Nina sababu yangu ya kuuliza, anayejua anajibu asiyejua basi anaacha. Source yangu kuu ya info ni jf
 
Jamani muwe na busara basi, huyu jamaa kauliza swali ambalo majibu yake ni hayo uliotoa au unajifafanua jinsi ulivyo mjinga katika wajinga!!, siku zote jibu swali uliloulizwa, huna jibu kaa kimya sawa!
Yaani mkuu watu wana hasira, wanakosa pa kuzitua
 
Back
Top Bottom