Mshahara wa Mwalimu

Mshahara wa Mwalimu

Ila nchi zingine zilizofanikiwa kupambana na rushwa zili hakikisha maslahi ya watumishi yapo vizuri sasa laki nne inamtosha nini mtumishi kama sio kumshawishi kutafuta deal zingine
Ndio, deals haziwezi kuisha kama maslahi ya watumishi ni mabovu. Na uchapaji wa kazi pia unakuwa ni ndoto. Tutaishia kuongea tu kwamba madili sasa hakuna na utendaji wa kazi upo juu ila kiuhalisia ni kwamba tunajidanganya tu
 
Degree 716000 ila inayoingia kwa akaunti ni 445000 .. Nusu ya mshahara hurudi ulikoingilia
Duh! Hiyo nomaa sasa km alipata heksb aka Loan kpnd anasoma si Mshara unazid kushuka?
 
Askari wanyamapori aliyemaliza kidato cha nne aliyesoma basic certificate kwa mwaka moja pale pasiansi chuo cha wanyamapori akiajiriwa huanza na mshahara wa millioni moja na laki moja(1,100,000) take home yake ni laki nane na themanini akiongeza na night allowances ambayo ni lazima kwa kila mwezi jumla anakunja millioni moja na laki mbili hadi nne....kuwa na degree cyo sifa cha muhimu ni kusoma elimu ambayo itakulipa.
 
Fact
 
tatizo ada yake mkuu sio kwamba hatupendi kusoma iyo kozi
 
Millioni tatu kwa mwaka cyo ela nyingi sana mkuu halafu ukiajiriwa ndani ya miezi mitatu unairudisha hiyo ela kuna hasara gani?
Ukimaliza hiyo kozi waajiri wake ni wangapi?what if ukikosa kazi serikalini,ni wapi unaweza kupata kazi mbadala?
 
Ina waajiri watatu ambao ni Tanzania National Parks (TANAPA), Tanzania Wildlife Authority (TAWA) na Ngorongoro Conservation Area Authority (NCAA)..uwezekano wa kukosa ajira kabisa kabisa ni ngumu sana unaweza ukakaa mtaani si zaidi ya miaka miwili kama una cheti ila percent ya kupata ni kubwa
 
Na je wote wanaopata hiyo kazi,wote majukumu yao ni kushika bunduki na kulinda wanyama au Kuna vitengo tofauti tofauti?
 
Millioni tatu kwa mwaka cyo ela nyingi sana mkuu halafu ukiajiriwa ndani ya miezi mitatu unairudisha hiyo ela kuna hasara gani?
hahahaha mkuu inategea na familia ....tupo tofauti sana hela ngumu ndugu
 
Back
Top Bottom