Mshahara wa Mwalimu

Mshahara wa Mwalimu

Wakuu naomba kujua kiwango cha mshahara wa mwalimu wa shule ya msingi anayeanza kazi na wa mwalimu wa sekondari anayeanza pia kwa sasa.
Kwa Zambia huku ni USD 450 bila kusahau allowances kibao
 
Ndio maana vilio vya mishahara kwa watumishi haviishi mkuu
Ila nchi zingine zilizofanikiwa kupambana na rushwa zili hakikisha maslahi ya watumishi yapo vizuri sasa laki nne inamtosha nini mtumishi kama sio kumshawishi kutafuta deal zingine
 
Jamani muwe na busara basi, huyu jamaa kauliza swali ambalo majibu yake ni hayo uliotoa au unajifafanua jinsi ulivyo mjinga katika wajinga!!, siku zote jibu swali uliloulizwa, huna jibu kaa kimya sawa!
Napendaga sana mazwazwa kama nyinyi mnao tukana watu alafu mkitegemea na wao wakae kimya kwa kuzani ninyi mnajua sana fala wewe...

mimi na wewe nani mjinga? wewe umejibu swali lilio ulizwa? au kwakuwa na wewe una subiria ajira ya ualimu ndio una taka kufahamu kupitia hapa rofa mkubwa wewe...

Una taka nijibu swali hata kama bado lina maswali mengi ndani yake wewe kenge maji... mshenzi wewe... na nilivyo na hamu na bani una niletea ujinga...
 
Duh Kumbe kuna majirani zetu wapo vizuri namna hiyo! Hii nchi yetu bado sana
sasa nazani utakuwa umetambua kuwa swali lako bado lina maswali kibao... ukiulizwa ili watu wapate ufafanuzi una zingua zingua....

Ngoja nikuwekee website za baadhi ya shule alafu uone kama mishahara itakuwa ina fanana, maana ada tu kuna baadhi ya shule tanzania hii kwa kindergarten mwanafunzi wa chuo anaisoma namba... sasa sijui mwalimu atakuwa analipwa kiasi gani....

Feza Schools | Be Better Educated...
St. Constantine's International School shule ya wagiriki (kama sijakosea) ipo arusha
International School Moshi ipo moshi
Home - Braeburn International School Arusha (arusha)
Fee Structure - Braeburn International School Arusha
 
Duh Kumbe kuna majirani zetu wapo vizuri namna hiyo! Hii nchi yetu bado sana

Sio nchi bado sema serkali yako bado... watu na elimu zao wanalipwa vizuri, na ina tegemea anafanya kazi wapi na ktk taasisi gani...
 
Back
Top Bottom