Mshahara wa muhasibu CRDB kwa degree bila CPA

Acha kudanganya umma kwa huu uwongo wako ambao utageuka kuwa ukweli kwa wasomaji kama hakuna ataekusahisa,, Vitu vingine muwe mna evidence ndo mnatype aisee..

Accountant ni mtu mwenye uwezo wa kuandaa tax returns, Kutengeneza na kuhakikisha financial statements zinaendana na regulations, Kuwa na uwezo wa kutafuta njia za kupunguza cost na kuongeza faida, Kutengeneza ripoti, Kuonana na wateja ma kuwashaurit mambo yaliyomo kwenye field ya account, n.k. Upo hapo!!

Kuna accountants wa aina nyingi akiwemo Mkaguzi(Auditor), Forensic Accountant, Tax accountants, Financial Advisors, Controllers, Book keepers na wale wenye C.P.A ambao wewe ndo ulidhani wapo pekee kwenye kundi la wahasibu.

So in general hata ukichukua Diploma in Accounting lazima utajifunza baadhi au kazi zote nlizokuandikia anazofanya accountant na hivyo kwa kigezo cha Diploma, Degree, Masters mtu ana uwezo wa kuwa Accountant ila akiongeza C.P.A anajiongeza kwenye kundi la wale wahasibu ambao wapo certified na serikali chini ya bodi ya wahasibu na wakaguzi wa hesabu wa Tanzania (N.B.A.A)

IKUINGIE KICHWANI VEMA HII
Ukiwa na CPA au any professional qualification in the field of accountancy, kama ACCA etc unaitwa Professioanal Accountant, ndio tofauti kubwa kati ya hao wahasibu. Ila mwisho wa siku wote ni wahasibu tuu.
 
Ukiwa na CPA au any professional qualification in the field of accountancy, kama ACCA etc unaitwa Professioanal Accountant, ndio tofauti kubwa kati ya hao wahasibu. Ila mwisho wa siku wote ni wahasibu tuu.
kwa mujibu wa sheria na kanuni za bodi ya wahasibu na wakaguzi mhasibu ni yule mwenye sifa zizatambulika kama CPA, ACCA nk mtu mwenye degree ya uhasibu anatambulika kama mhasibu msaidizi ndio maana kabla ya jina la cpa holder inaanza CPA Juma Hassan huo ni mfano tu
 
Back
Top Bottom