Old Skuli
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 690
- 177
NDIO MAANA NIKIENDA KUWEKA HELA WANATOA JICHO HIVYO.KUMBE WANALIPWA KIDUCHU HIVYO WAKATI WANAZIANGALIA HELA KILA SKU
Based on what?
U talk shite mzee
NDIO MAANA NIKIENDA KUWEKA HELA WANATOA JICHO HIVYO.KUMBE WANALIPWA KIDUCHU HIVYO WAKATI WANAZIANGALIA HELA KILA SKU
Mkuu, mpaka unafanya kazi crdb, bila shaka umetumia miaka kama 16 shuleni, ukiwa unakomaa na shule, huku familia yako ikiwekeza ela flan kwako ( ada)...Humu propaganda nyingi,
Mimi nipo CRDB,the guess work inside here is shocking.
Nimeanza kazi tu na Gross ya 1.08m
Tusibishane
I do say, kazi ya kuajiliwa ni utumwa wa kiuchimi. Kuna std 7 drop out anauza chips Kimara mwisho hupata profit per day after paying his workers, rent etc hubakiza laki moja. Kwa mwezi ml 3 ww na digrii yako laki 4?
Humu propaganda nyingi,
Mimi nipo CRDB,the guess work inside here is shocking.
Nimeanza kazi tu na Gross ya 1.08m
Tusibishane
Humu propaganda nyingi,
Mimi nipo CRDB,the guess work inside here is shocking.
Nimeanza kazi tu na Gross ya 1.08m
Tusibishane
Elfu kumi na tano na mia nne na thumni 6Naombeni kujuzwa mshahara wa muhasibu pale crdb kwa mushasibu mwenye degree pasipo cpa
ha ha ha kaka sepa fasta hela ndogo sana hiyo kwa mwanaume.. kama ni mwanamke komaa na job.. ila kama ni wa kiume.. ni hatari sana.. maisha mazuri utayaona kwa jirani
...unajitia dole afu unajichekesha mbele ya wanaume,ha ha ha kaka sepa fasta hela ndogo sana hiyo kwa mwanaume.. kama ni mwanamke komaa na job.. ila kama ni wa kiume.. ni hatari sana.. maisha mazuri utayaona kwa jirani
...unajitia dole afu unajichekesha mbele ya wanaume,
..mtoto choroko kweli wewe!
Mkuu wewe unaingiza ngapi kwa mwezi?
siwezi kusema hapa ila ni zaidi ya hiyo
...narudia,siwezi kusema hapa ila ni zaidi ya hiyo
Umenena vema, huyo wa 1.08M kwa mwezi kawaacha wengj sana, kjna wengine hawafikishi hata 500k kwa mwezi, hali kadhalika kuna wengine wanatengeneza pesa ndefu kuliko mimi, wewe na huyo jamaa yetu wa 1.08M lakini bado hawajakejeli hiyo pesa.
Kila kitu kina hatua na hatuendi sawasawa kwa wakati mmoja. Ndio maana kuna watoto, vijana, watu wa makamo na wazee. Ni suala la muda tu na mipango.
mi nilichocheka ni kujisifia eti crdb tunaanza milion moja na elfu 80 gross.. nikashangaa hiyo ni hela ya kujisifia kweli..
mke wangu anafanya nmb ana muda kidogo anapata zaidi ya hiyo ila anajua ni hela mbuzi sana hawezi jisifia nayo.. akiona wanaume hela tunazotengeneza.. anasemaga kweli kazi za benki ni za kike ndio maana mishahara imewekwa midogo
based in your stupidity!Based on what?
U talk shite mzee
mi nilichocheka ni kujisifia eti crdb tunaanza milion moja na elfu 80 gross.. nikashangaa hiyo ni hela ya kujisifia kweli..
mke wangu anafanya nmb ana muda kidogo anapata zaidi ya hiyo ila anajua ni hela mbuzi sana hawezi jisifia nayo.. akiona wanaume hela tunazotengeneza.. anasemaga kweli kazi za benki ni za kike ndio maana mishahara imewekwa midogo
Hivi wote walioishia darasa la saba wanapata mara 4 ya hiyo ?Mkuu, mpaka unafanya kazi crdb, bila shaka umetumia miaka kama 16 shuleni, ukiwa unakomaa na shule, huku familia yako ikiwekeza ela flan kwako ( ada)...
Nikijaribu kukutazama katika kona ya kibiashara, nakutazama kama biashara iliyopiganiwa kwa miaka 16 bila kuleta return yoyote mpaka ulipofika mwaka wa 16.... mwaka wa 16 biashara ndo imeanza kutulipa, inaleta 1.08 M per month.
Najaribu kufikiria kwa sauti, hivi ela yako uliyoitumia kusoma kipind chooote plus mda wako, itarud baada ya mda gan? Au tuliwekeza kwenye biashara ambayo hatukutegemea irudishe ela na faida juu...
Lakin pia, ungeamua kuokoa mda, ukapewa robo ya kias cha ela uliyotumia kusoma... pale ulipofika darasa la 7, leo hii husingeweza kumiliki kipato mara nne ya hiko, tena kwa investment ndogo kuanzia mda had fedha...
Samahani sana aisee, nimetoka nje ya mada, ila umeniwazisha sana aisee, na hiyo tusibishane yako uliyoiweka mwsho, imenionyesha ni furaha kiasi gan uliyonayo kuwa usain bolt wa ndoto za watu.