WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Madem watamkoma..........
Akatengeneze maisha sasa, sio aende huko arudi mikono mitupu. Ndo chance zenyewe hizo
nimepata tabu kidogo, ulivyosema neno "KUFURU"...milion 6 ni kufuru?
Kwani samata anakamata kiasi gani
Madem watamkoma..........
Wanabodi Mambooooooz??
Aliyekuwa Mshambuliaji Mahiri wa Simba Mrisho Ngasa atakuwa akilipwa Mshahara wa Dola 4000 ambayo ni sawa na zaidi ya shilingi milioni 6 za kitanzania kila mwezi na Timu ya El-Merrekh ya Sudan katika mkataba wake wa miaka miwili alioingia na klabu hiyo ambayo imefanikiwa kuutwaa ubingwa wa nchi hiyo mara 18.
SOURCE:BBC/SPORTS.
Mpigie simu akikutel utujuzeKwani samata anakamata kiasi gani
Ndo maana JK alisema bora maisha kwa kila mtanzaniaHapa ndio unaona watanzania tulivyo na maisha duni. milioni 6 ni kufuru kweli? Kweli nimeamini tu maskini !!!!!!!!! mbona ni hela ndogo kuishi ugenini kwa milioni 6 tu!
Hiyo habari huenda ilitolewa kabla ya simba kuingilia kati,
Nijuavyo ni kuwa wasudani wameachana na mpango wa kumsajili ngasa, hivyo ataendelea kukipiga VPL Tz tu!
Wanabodi Mambooooooz??
Aliyekuwa Mshambuliaji Mahiri wa Simba Mrisho Ngasa atakuwa akilipwa Mshahara wa Dola 4000 ambayo ni sawa na zaidi ya shilingi milioni 6 za kitanzania kila mwezi na Timu ya El-Merrekh ya Sudan katika mkataba wake wa miaka miwili alioingia na klabu hiyo ambayo imefanikiwa kuutwaa ubingwa wa nchi hiyo mara 18.
SOURCE:BBC/SPORTS.
Sudan ya kaskazini si wanafuata sharia za kiislam? Watamkata kidude chake cha kunyongolotea wadadaMadem watamkoma..........
Milioni sita ni kufuru??????
Kodi yao ipoje?
Cost of Living sudan ipoje?
On my view naona kama ni hela ndogo sana!!!