Vp wakuu kuhusiana na kazi za kujitolea walizotangaza RUWASA mwezi uliopita ile deadline yake iliyokuwa tarehe 26/03/2021, wameshaita watu tayari au bado?
Na vp kuhusu kazi za kujitolea huwa unatolewa japo kaposho au ndio kazi ya kanisa? Wakuu naomba ufafanuzi kidogo kwa wenye uzoefu.