RUWASA watakiwa kurekebisha mradi wa maji

RUWASA watakiwa kurekebisha mradi wa maji

Wizara ya Maji

Govt Institution
Joined
Oct 2, 2024
Posts
33
Reaction score
20
Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Kundo Mathew (Mb) ameitaka Wakala ya Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kufanya marekebisho muhimu ya mradi wa maji wilayani Hanang' baada ya kubainika kasoro za kitaalam ambazo lazima zifanyike katika kuhakikisha uendelevu wa mradi.

Mhe. Kundo amefanya uamuzi huo tarehe 7 Oktoba 2026 ambapo alitakiwa kuweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Kinyamburi.
 

Attachments

  • kinyamburi2.jpeg
    kinyamburi2.jpeg
    54.8 KB · Views: 4
  • kinyamburi1.jpeg
    kinyamburi1.jpeg
    76.6 KB · Views: 4
  • kinyamburi3.jpeg
    kinyamburi3.jpeg
    73.4 KB · Views: 4
Back
Top Bottom