Washakula Wana ngojea mshahara wa mwezi wa 4 sasa hivi Serikali ipo makiniNahisi utachelewa sana kutokana na janga zito lililotukumba mlio serikalini kuweni wavumilivu
Tayari nimelipwa na mtumishi aliyekuwa amekopa

HahahahahaDuuuuh kwa wahindi mpaka tarehe 40.