mshahara wa kuanzia mwalimu mwenye degree ni sh ngapi?

diaz

Member
Joined
Jan 3, 2013
Posts
80
Reaction score
9
Ninajua kwamba mwalimu mwenye 1st degree anaanza na TGTS D..! hii TGTS D ndiyo shilingi ngapi..? Naomba mwenye kujua ukweli wa hii scale anijuze
 
Milioni mbili na laki nane, wakitoa makato yote unapeleka milioni mbili na nusu kwa mama chanja.
 
Laki 5 na ushehe,wakikata makato yao unabaki na laki nne kasoro.ualimu ni wito.
 
sh. Laki 498240 baada ya makato yote. Kumbuka unapewa 532894 ya kuanzia maisha. A.K.A YA KUJIKIMU. Net salary moja. Pia makato hayaingizwi at the moment unapeta bila makato ya Afya, Penshen na CWT Kwa mwaka mmoja.
 
Ulishawahi wapi kuona mwl. kajenga Ghorofa? ualim ni zaidi ya wito, nyumba ya kawaida sana {madirisha nyavu, gari vitz, swift, alto, note na wenzao wote!!!,} na mtoto wako atasoma hizo hizo St. kanumba za kikwete afu uciombe ualimu wenyewe uwe wa Hitory kiswahili, yani ndo hawana soko kabisa cio tu kwa international arena hata kwa national wise.....ila hata hivyo ucjilaumu kwa ulichokipanda we mwenyewe elimu yenyewe umechechemea sana, umetafta credit weee....ooohhh nisamehe shikamoo mwl.:shut-mouth:
 
watu wana majivuno ucpime bt yote maisha waungwana 2nacho omba ni uzima kila m2 mkono uende kinywani na Akaunti zisome
 
Ulishawahi wapi kuona mwl. kajenga Ghorofa? ualim ni zaidi ya wito, nyumba ya kawaida sana {madirisha nyavu, gari vitz, swift, alto, note na wenzao wote!!!,} na mtoto wako atasoma hizo hizo St. kanumba za kikwete afu uciombe ualimu wenyewe uwe wa Hitory kiswahili, yani ndo hawana soko kabisa cio tu kwa international arena hata kwa national wise.....ila hata hivyo ucjilaumu kwa ulichokipanda we mwenyewe elimu yenyewe umechechemea sana, umetafta credit weee....ooohhh nisamehe shikamoo mwl.:shut-mouth:

Ukisikia maneno machafu, na dharau ndo hizi! au ndo maana mwl. magufuli alikimbia ualimu?
 
MWIGULU NCHEMBA WAMJUA? Unakumbuka alipotetea sana bungeni na kutupa bajeti ya wapinzani waliodai walimu wanataabika na kufanya biashara madarasani? :smiling: Siyo siri Walimu wanataabika, hadi wengine wanauza ubuyu darasani!
 
We ----- acha kuponda kazi za watu, kimcng kufanikiwa kwa m2 ni jinsi anavyojipanga na ku2mia frusa alizonazo. Mbona kuna waalimu wengi 2nawafahamu wamefanikiwa kuliko hata hao ma engineer na ma doctor? Mi sio mwalimu by professional ila umenikera sana kwa maneno yako. Ila bila shaka we ni limbukeni na umekulia kijijini, so kuna baadhi ya mambo umeyakutia ukubwami. ----- sn wewe!
 
Ulishawahi wapi kuona mwl. kajenga Ghorofa? ualim ni zaidi ya wito, nyumba ya kawaida sana {madirisha nyavu, gari vitz, swift, alto, note na wenzao wote!!!,} na mtoto wako atasoma hizo hizo St. kanumba za kikwete afu uciombe ualimu wenyewe uwe wa Hitory kiswahili, yani ndo hawana soko kabisa cio tu kwa international arena hata kwa national wise.....ila hata hivyo ucjilaumu kwa ulichokipanda we mwenyewe elimu yenyewe umechechemea sana, umetafta credit weee....ooohhh nisamehe shikamoo mwl.:shut-mouth:

Waalimu hao hao ndio wamekufundisha kusoma na kuandika leo hii unawashukuru kwa hizi kejeli? Mbona sasa hata haujataja hiyo TGTS D ni kitu gani?

``Mwanafunzi hawezi kumzidi mwalimu wake wala mtumishi hamzidi bwana wake. [SUP]25[/SUP]Inatosha ikiwa mwanafunzi atakuwa kama mwalimu wake na mtumishi kama bwana wake. Ikiwa wamethubutu kum wita bwana mwenye nyumba Beelzebuli, je, si watawasema vibaya zaidi jamaa ya mwenye nyumba?''

Mathayo 10:24-25
 
Mzee bora utafute jibu la swali lako pengine sio hapa JF. Watu wanajibu swali la mtu kama walevi?? hawajali kabisa! Its soo painful. Mwenzetu anauliza swali kwa sababu anataka jibu na pengine analitegemea hilo jibu ili aweze kufanya maamuzi ya maisha yake. Can we try to be a little bit serious guys??
 
Ulishawahi wapi kuona mwl. kajenga Ghorofa? ualim ni zaidi ya wito, nyumba ya kawaida sana {madirisha nyavu, gari vitz, swift, alto, note na wenzao wote!!!,} na mtoto wako atasoma hizo hizo St. kanumba za kikwete afu uciombe ualimu wenyewe uwe wa Hitory kiswahili, yani ndo hawana soko kabisa cio tu kwa international arena hata kwa national wise.....ila hata hivyo ucjilaumu kwa ulichokipanda we mwenyewe elimu yenyewe umechechemea sana, umetafta credit weee....ooohhh nisamehe shikamoo mwl.:shut-mouth:

Hongera kwa kuzaliwa mtoto wa fisadi
 
Back
Top Bottom