kitonger
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 1,164
- 1,542
mbn wabunge naskia 12m..au fix tuKawaida katibu mkuu anatakiwa kuwa salary kubwa kuliko watumishi wote waliochini yake kwenye wizara wenye Scale za TGS ukiacha wale wa mashirika. Kwahiyo inawezekana TGS J, around milioni 5 hapo.