Mshahara wa July 2019 vipi?

C ungenisaidia?Kuanzia Leo napunguza mazoea na wewe!Kumbe ndio ulivyo huchelewi kunitangaza!Mbona mi udangaji wako nimenyamaza tu!Sio vizuri kutangaza ya watu!


πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..sijadanga siku 2 hizi mkuu.hela hakuna..juzi nilipewa buku😏..nikarudi nyumbani tu..!ameniambia asbh hii best jana mzuka kwanza wa kwenda job leo!

unanioea wivu ww...ni wivu tuuπŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…