kipepe comrade
Member
- Jun 8, 2019
- 41
- 27
Kwel kbsaWatumishi wa umma hawana budi kujiongeza kwa kufanya shughuli ndogo ndogo za kilimo, ufugaji, au biashara nje ya muda wa kazi ili kujiongezea kipato au kuanzisha tu utaratibu wa kujiwekea akiba.
Awamu hii imeshajinasibu kuwekeza kwenye miundombinu, na siyo kwenye ustawi wa wananchi wake wakiwemo watumishi wa umma! Hivyo kwa yeyote anayeishi kwa kutegemea mshahara tu, basi ni lazima ataishi maisha ya tabu sana na ya kulialia.
KamefanyajeeHaka kauzi bhana..
Huwa kanapotea na kurudi kama mzimu usiojulikana unaoikumb nchi moja hapa A.masharikiKamefanyajee
Jaman mshahra tayari wozaaaaaaaaaaaahHuwa kanapotea na kurudi kama mzimu usiojulikana unaoikumb nchi moja hapa A.mashariki
Huu Uzi unafikirisha sana... Maisha ukiyaegemeza kwenye utumwa Wa kazi bila kufikiria nje ya Box , utaishia kufa masikini na kutengeneza kizazi chako kuja kuhangaika duniani ..
Eeh mungu tunusuru.
Hihihihihihiiiii......watu wako kuzitumia na wameusahau Uzi wao..Jaman mshahra tayari wozaaaaaaaaaaaah
Hihihihihihiiiii......watu wako kuzitumia na wameusahau Uzi wao..Jaman mshahra tayari wozaaaaaaaaaaaah
Hihihihihihiiiii......watu wako kuzitumia na wameusahau Uzi wao..
Toa stress zako hapa, wapi nimepanick ..Mbn unapaniki watu kusubiria mshahra kwan kesi wee vipi kila mtu anaishi apendavyo hivyo kupaniki vipi ?
Bado mkuuVp mshahara wa September?
Nahisi tayari Mkuu!Maaana nimepita NMB nimeona watu wengiVp mshahara wa September?
Bado mkuu
C muangalie kwenye simu zenu c mna Nmb Mobile