Mshahara wa July 2019 vipi?

Mshafufua uzi wenu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kama hauhusiki kaa mbali kwenye uzi huu.
Maana wengine utawaona wanaleta shobo mbinuko humu.
Kudai au kuulizia salary si umaskini bali ni kujitambua, na haina maana kuwa watumishi ni maskini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…