Mshahara wa July 2019 vipi?

Nakuelewa na mie pia ni m/kazi. Watu wanakwama mpk wanakopa kwa kuchelewa kwa wiki tu, ukiwa na vyanzo vingine huwezi kukosa sh mbili tatu za ku-survive.
 
Maikinii weee.....

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Daaah, nikajua nyongeza ya mwaka itaanza July hii kumbe hamna kitu.
Nimechek umeingia uleule 3.6 Million kama kawaida.
Jaman, lini tunapandishiwa mishahara πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
Nyie wa 3 milli hamuongezewi lkn si wa laki 2 tutaongezewa may be
 
hiyo inaitwa ''kuelekea 2020'''
 
Sure
 
Mshahara umetoka na kuna badiliko kwa waliopandishwa madaraja, Aidha kuna madeni yamelipwa kwa waliokuwa wanadai malimbikizo ya mishahara, fedha za likizo, matibabu, uhamisho n.k. Aidha kundi jengne linataraji kubadilishiwa vyeo mwishoni mwa mwezi huu. Fupisha habari hii kwa maneno 30
 
Dah utanisababishia ban aiseee nusu nitukane nilipofika huo mstari WA mwisho, ila huendi
 
Demiss data
Mshahara tayari, ila naona wanaanza kuwekea watu wa NMB benki zingine muendelee kuwa wavumilivu.
UZI WETU UNAKWENDA KUISHIA KABURINI. RIP HUU UZI. nahisi hii comment yangu itakuwa ni ya mwisho.
 
Hakuna nyongeza hata sh. 100
😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑
 
wewe ni lazima utakuwa ni mteja wa Milembe. Sio bure Boss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…