Hahahaha duh mbn unanipandisha cheo kwann usiseme Afisa mtendaji wa kijiji?
Pole sana, angalia post namba 177
Hahahaha umetisha bidadaKama period yan inavyofanyaga duh
Shilingi ngapi itapendeza?
Umelamba au unachekelea kuskia tayari? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Labda mshahara wa dhambiWewe ulisha retire unaulizia mshahara upi?
Hahahaha umetisha bidada
Badooo
we si ni mustaafu. RetiredJamani mshahara wa July umelipwa? Tupeane taarifa
Badooo
Aseee kwa jinsi unavyo chekelea yawezekana kweli umetoka.
Mkuu wajeda bado banaaa [emoji102]Nasikia wajeda mmewahishiwa mkuu.
Changamka fasta pm na namba yako ya muhamala wengine tunachukuaga salary advance mwisho wa mwezi kama ivi wengine mkifulia tunakaa bar wenyewe tunasumbua.Nitumie hata elf 5 tu nijipoze roho na serenget litee
Nasikia wajeda mmewahishiwa mkuu.
Hata uweke vielelezo bado utasemwa tu binadamu tunawafata vile wanavyotaka hahah[emoji3][emoji3][emoji3]
Natania tu bhana..sasa je...haaha...unamuonaje onaje kwanza..hebu acha zalau basi mzee baba
NANYI MKIPATA ZILE ZA PENSHENI ZINAZOKATWA KWENU WANALIPWA WAO. MIFUKO YA PENSHENI HUWA INAKOPESHA SERIKALI NA NYINGI SANA HUITUMIA. Kama umeelewa,Wewe ulisha retire unaulizia mshahara upi?