mwisho2016
JF-Expert Member
- Jun 27, 2016
- 724
- 625
Leo mtapewa. Huku wenzenu wa upande wa pili wamemaliza hela yote. Nimesikia hivyo
Ya CCP au Kiwira?!!!! hahahahahahaahahDEPO mpya mna mbwembwe.!
Upande upi nipe japo signal yao
Upande wa pili wa Union
Bado MkuuVp mkuu mbona kimya teyari au..?
hhahahahah, mwe!!!!Tsyari kimeeleweka
Tsyari kimeeleweka
Mkuu unajua nakuamini siku nyingi sana..ebi sema ukweli..?Tsyari kimeeleweka
HahahaaaaaMkuu unajua nakuamini siku nyingi sana..ebi sema ukweli..?
[emoji1787][emoji1787][emoji6][emoji6][emoji6] namuamini sana huyu jamaa tokea kitambo sana.Hahahaaaaa
Zipi hizo ?Baadhi ya tasisi washapata
Someni salio kimeeleweka
Waitu waitu waituKaijage , kaijage, kaijage nimekuita mara Tatu!!!!!!!
Michn u slim[emoji6]
Kafanye hujaitwa hapa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kuna kazi kama za kukaanga chipsi n.k,malipo ni kwa siku;hakuna haja ya kusubiri mwisho wa mwezi
Pressure inapanda pressure inashuka[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Waitu waitu waitu