ITM, si ajabu wewe ni msomi or alternatively it might be a slip of finger on the keyboardMwezi uliopita (June) 2019 salary imetika tarehe 19.Kesho ni mwisho wa mwezi tujonge ITM mapema.
Huyu atakuwa na dole gumba kubwa sana maana 'A' na 'I' zipo mbalimbali kwenye keyboard hata hazipakani.ITM, si ajabu wewe ni msomi or alternatively it might be a slip of finger on the keyboard
Nafikiri waliwaihisha ada za Watoto miezi ya sita na Saba ,December January kwa wafanyakazi ni crucial Sana.Biashara huwa hazichangamki Sana ambazo haziko related na mambo ya elimu sababu Mashule mengi ya chekechea ,primary na secondary ambao ndio majority ya wanafunzi huwa wanaanza mihula na wazazi wengi huhitaji Ada na mahitaji ya wanafunziMwezi uliopita (June) 2019 salary imetika tarehe 19.Kesho ni mwisho wa mwezi tujonge ITM mapema.
UNAJUA MTU ANAWEZA AKAWA ABSENT MINDED AKACHAPA "I" WHICH IS VERY FAR AWAY FROM AHuyu atakuwa na dole gumba kubwa sana maana 'A' na 'I' zipo mbalimbali kwenye keyboard hata hazipakani.
Unamanisha utakua umeongezwa 20 au ujenz unaendeleaITM ndo wapi ?
You have a positive thinking lakini such a thing never happens in a dictatorial regime! Kama regime imeshindwa kuwapa haki yao ya kupandishwa mishahara which is statutory, sembuse hili la ada ambalo ni hisani na hiari ya mtu mmoja, NEVER! Usitake kuwaremba, hawa ni wauaji wakuu ever in East Africa next to Idd Amin!Nafikiri waliwaihisha ada za Watoto miezi ya sita na Saba ,December January kwa wafanyakazi ni crucial Sana.Biashara huwa hazichangamki Sana ambazo haziko related na mambo ya elimu sababu Mashule mengi ya chekechea ,primary na secondary ambao ndio majority ya wanafunzi huwa wanaanza mihula na wazazi wengi huhitaji Ada na mahitaji ya wanafunzi
acha ukuda ww unataka watu wote wajiajli watu km nyie utakuta mna njaa mpaka mnanuka shameHaya maisha ya kusubiri tarehe ni aina moja wapo ya utumwa.
Huyu atakuwa na dole gumba kubwa sana maana 'A' na 'I' zipo mbalimbali kwenye keyboard hata hazipakani.
acha ukuda ww unataka watu wote wajiajli watu km nyie utakuta mna njaa mpaka mnanuka shame
kweli ndugu slim5,mm nakerekaga kila mtu akizungumzia salary mijitu povu honestly uwa inanikata sana ujue hata mm ni mtumishi aisee kwani huo mshahara analipwa bure si amefanya kazi hizi shobo tuzipunguze za kishamba sanaWengi wa Wajasiriamali wana chuki na waajiriwa... Shangaa wateja wao ni hao hao Waajiriwa
Kuajiriwa nao ujasiriamali, maana bila kufanya michakato ya kueleweka hakuna mtu atakuajirikweli ndugu slim5,mm nakerekaga kila mtu akizungumzia salary mijitu povu honestly uwa inanikata sana ujue hata mm ni mtumishi aisee kwani huo mshahara analipwa bure si amefanya kazi hizi shobo tuzipunguze za kishamba sana
Kila mtu kujiajiri inawekana kwenye society ya ujima tu. Kila mtu na kishamba akizalisha chakutosha kwa yeye na familia yake. The moment unaanza kuajiri mwingine ili kukidhi mahitaji ya nguvukazi, basi maana yake ni kwamba haiwezekani kila mtu akajiajiri.Haya maisha ya kusubiri tarehe ni aina moja wapo ya utumwa.