shhukraniInategemea na sehem husika. Kuna wengine hawalipi hata senti. Wengine wanatoa posho ya nauli. Kuna sehem wao wanatoa 300,000/- kwa mwezi.
Kila sehem wana taratibu zao, wengine wanachukua miezi mitatu, ikiisha unaweza kuongezewa tena mitatu ila si zaidi ya hapo. Wengine miezi sita n.k