Nilijua Leo ungeingia mshahara wa mwezi Disemba Kama ilivyokuwa last year ila Naona kimya duh . Anyway Ngoja nisubiri tu Maana chuma kinakaribia kukatika .
Bora walipe tu kabla ya sikukuu maana ikiwa baada ya Sikukuu utasababisha madeni makubwa.Ila mtu anayekuwa Na Reserve mwezi January maisha Huwa yanakuwa matamu sana
Mishahara c imetok tangu juzi watu tumeshaimaliza kabisa au nyie wengine bado mi nasubiri ration allowance kisha nijipange na utapel wa kufa mtu mwezi ujao wa kwanza maana hapo sitochomoka
Hata sasa majungu. Tume huru na mshahara hapa na wapi? Kwanza mwidho wa mwezi bado, ni tarehe 28. Hakuna mkataba wa kuwahisha mshahara kwa sababu ya sikukuu. Mimi ni mwalimu, mshahara wangu unaeleweka. Sina stress. I,m just waiting for the end of the """moon""