🤣🤣🤣🤣 utanipa nn nikikununulia😊ndo hivo, naomba ninunilie gauni la 🎄 xmas shost
Cone🤣🤣🤣🤣 utanipa nn nikikununulia😊
Dec kumbukumbu tu sio kwamba ndo tarehe rasmiAlafu wabobezi wa Bible wanasema Massiah hakuzaliwa dec..alizaliwa around july!
Na hakuna annual salary increment wala mshahara kupanda. Lakini mwezi January kutakuwa na ongezeko Kwenye makato ya bima ya afya.Wasalaam wanabodi.
Weekend iko safi kabisa wakati tukijiandaa kuuanza mwezi wa 12, mwezi ambao una mambo mengi ya kimaisha ambayo yote hukutana kwa wakati mmoja.
Mshahara wa mwezi Desemba huwa ni shida sana kuugawa.
Mshahara utaingia kati ya tarehe 22 mpaka 23 Disemba 2019.
Tarehe 25 Disemba ni sikukuu ya Christmas (kwa sisi wa upande wetu), siku hii hujawa na shamra shamra sana za kufufuka Bwana Yesu. Sherehe hutamalaki kila kona ya dunia. Yote haya huhitaji pesa.
Wiki moja baadae, January 1, 2020 ni sherehe ya mwaka mpya. Hii nayo ni kubwa sana kwa watu wa dini zote. Mbwembwe zote ni mwaka mpya. Hii sherehe inataka uwe na pesa.
Wiki moja baada ya mwaka mpya shule zinaanza kufunguliwa, ada kama zote. Maandalizi madogo madogo ya vitendea kazi vya shule vyote hutaka pesa.
Kuna kodi za nyumba, kodi za frame za biashara, leseni za biashara, fuel, michepuko na kadha wa kadha.
Kasungura kadogo mambo mia kidogo.
DuuuuuuTumkumbushe Magufuli tu kwamba 2020 ishafika.. Alifikiri ni milele..!??
Halafu kwanza ni ishu za zamani sana.Jamii imeifanya km xmas km siku ya kuvaa nguo mpya na kula vyakula kibao..eish mm hata huwa sina kbs wazo hilo..bora ucelebrate new yr!
Kuna watu wazima kbs bila kutinga kiwalo kipya xmas haelewi kbs siju huwa ni nn jaman!
Hivi kumbe gari ni kisu cha kuwachinjia hawa viumbe hee!!!?Mi na plani tu hapa kuchukua crown kali niendelee kuzichakata papuchi
Tusome comments za wenye mishaharaTusiokuwa na mishahara [emoji41][emoji41][emoji41]
Halafu kwanza ni ishu za zamani sana.
Siku hizi kila siku ni sikukuu.
Ukiwa na hela hata tarehe 25 March unakula kapilau kako saafii nusu kilo.
Sio lazima ujiumize kukopa laki 5 za xmas uonekane alafu January unatusumbua hoya mwana nikuambie kitu,si unajua Manka anaingia la pili.
Nyooooooo
Wasalaam wanabodi.
Weekend iko safi kabisa wakati tukijiandaa kuuanza mwezi wa 12, mwezi ambao una mambo mengi ya kimaisha ambayo yote hukutana kwa wakati mmoja.
Mshahara wa mwezi Desemba huwa ni shida sana kuugawa.
Mshahara utaingia kati ya tarehe 22 mpaka 23 Disemba 2019.
Tarehe 25 Disemba ni sikukuu ya Christmas (kwa sisi wa upande wetu), siku hii hujawa na shamra shamra sana za kufufuka Bwana Yesu. Sherehe hutamalaki kila kona ya dunia. Yote haya huhitaji pesa.
Wiki moja baadae, January 1, 2020 ni sherehe ya mwaka mpya. Hii nayo ni kubwa sana kwa watu wa dini zote. Mbwembwe zote ni mwaka mpya. Hii sherehe inataka uwe na pesa.
Wiki moja baada ya mwaka mpya shule zinaanza kufunguliwa, ada kama zote. Maandalizi madogo madogo ya vitendea kazi vya shule vyote hutaka pesa.
Kuna kodi za nyumba, kodi za frame za biashara, leseni za biashara, fuel, michepuko na kadha wa kadha.
Kasungura kadogo mambo mia kidogo.
Nimeku pm naona umefunga DiaaWw upo km mm...daily ni sikukuu...!ukiamua kutumia unTumia haswaa...ushamba sana kuanza kushona manguo na familia yako baba kitenge mma kitenge mfanno na mume watoto nao manguo mapya🤣!
Ngoja nikufungulie bby gal!Nimeku pm naona umefunga Diaa