Mshahara wa Barmaid

Mshahara wa Barmaid

Majaribu2013

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
952
Reaction score
1,050
Leo nimeamua kuwaletea huu uhalisia.

Bila shaka tunawajua dada zetu wanaotumika katika Bar mbalimbali maarufu na zile zisizo maarufu. Ulishawahi kujiuliza wanalipwa kiasi gani?

Juzi nilikuwa naongea na mwenye Bar hapa Dar akasema ni makubalino kabisa huwekwa kwamba atalipwa kwa siku kiasi cha sh 1500/= na kipato kingine ataongeza kwa kupat bwana.

Barmaid yeyote hawezi kumkataa mwanaume na kwa namna hiyo wanaingiza kati ya tshs 10,000/= hadi 100,000/= kwa siku kutegemeana na uzuri wake na kumfanya kuwa na mshahara usiopungua laki 3 kwa mwezi.

Siyo u.ke tena bali ni pubiliki toileti.
 
hawa dada zetu wanafanya kazi katika mazingira magumu sana...

wamekuwa kama jalala, kila aina ya uchafu utatupwa kwao tu..

kila mwanaume anayejisikia kapata vijisenti vya zege, anaenda bar kusaka hao wanaoitwa 'mala.ya'!!

muoneni kama huyu.. ..

efc77084edL.jpg

maisha jamani!
 
wengine wanadiriki kuhudumu wakiwa na watoto migongoni...!

unplanned families! aliyekuzalisha yuko wapiiii??

hebu jioneni basi... elimu imetolewa vya kutosha aisee!

uiiuiiui.jpg

mtoto kafunikwa gubi gubi! hewa hamna!.... akikua unadhani atakuwa na akili huyu endapo mazingira yenyewe ndo haya?
 
Mkuu ni kutoelewa tu, na sijui ni kwa nini waitresses/servers/bar tenders wanadharauliwa na kunyanyasika hapa bongo.
Ukienda nchi za watu kwanza hawaitwi bar maid kama mnavyowashusha. Pili hiyo ni kazi kama kazi nyingine yoyote nyingine na msiwadharau.
Tuwe na utamaduni wa kutoa tips pale inapostahili especially ukihudumiwa vizuri. Tuache mchezo wa kuwanyanyasa na kuwadharau na kuwaona kuwa wapo hapo kwaajili ya kuuza mbunye/papuchi.
Hao nao ni binadamu na wanahitaji kuthaminiwa na both wateja na wamiliki wa hizo bars/pubs/taverns etc
 
Ni maisha tu,,, kuna mama barmaid ni mfanyakazi wetu kasomesha mtt wake na sasa yuko universty mwaka2 matumaini yake ni kwa mtoto wake tu!!!!! ujue hawapendi kufanya hayo bali ni maisha magumu tu......
 
Please don't call ' em "bar maids".
 
Yeah but sio wote wapo na tabia hiyo wengine wanajielewa
 
Napata shida sana kuona baamaid anabakwa, anapigwa na pengine hata kuuwawa akitetea haki zake,.. na mara nyingi watu hawa huwa ni wakarimu wakati wa kutoa huduma na wanajitolea kufanya kazi hadi usiku mnene lakini malipo yake ni kilio kwao mshahara kiduchu but nashauri mabaamaid wasikate tamaa waunde chama chao kisajiliwe serikalini ili kutetea haki zao na nazani hapo ndo utakuwa mwarobaini wa matatizo yao lakini wewe mdau uliyeanzisha mada kumbuka mabamaid sio wote ukiwatongoza wanakubali na wengine ni wake za watu na wanajiheshimu futa kauli yako!
 
Nianze na mleta mada ambaye mimi nakuona una matatizo makubwa ya kisaikolojia (It's not an attack, fellow psychologists wanaofuatilia mada zako watanielewa).
Kwanza nakubaliana na wewe kwa ulichokieleza na katika maeneo mengine the situation is even worse, je umeshawahi jiuliza ni kwa nini wamefikia pale,umeshawahi kukaa nao(Sidhani) na kuongea nao.Na je umewahi kufikiria namna yoyote ya kuwasaidia!? Kifupi tu tambua kuwa hakuna binadamu anayependa kudhalilika na ukimuona mtu anadhalilika ili mkono uende kinywani sio wa kumlaumu na kumtukana bali kumhurumia na kuangalia namna ya kumsaidia, calling them a "public toilet" might be "nicier" to you lakini tambua kuwa wangependa waheshimiwe. Na kama una watoto OMBA MUNGU SANA.
 
Napata shida sana kuona baamaid anabakwa, anapigwa na pengine hata kuuwawa akitetea haki zake,.. na mara nyingi watu hawa huwa ni wakarimu wakati wa kutoa huduma na wanajitolea kufanya kazi hadi usiku mnene lakini malipo yake ni kilio kwao mshahara kiduchu but nashauri mabaamaid wasikate tamaa waunde chama chao kisajiliwe serikalini ili kutetea haki zao na nazani hapo ndo utakuwa mwarobaini wa matatizo yao lakini wewe mdau uliyeanzisha mada kumbuka mabamaid sio wote ukiwatongoza wanakubali na wengine ni wake za watu na wanajiheshimu futa kauli yako!

Ndugu umenena vyema, kwa sisi wanywaji tunao interact nao we know them, na maisha haya .. As humans we should pity them na tuangalie namna ya kuwasaidia.
 
Vyombo vinavyohusika wanetulia

1,500/= inasaidia nini? Au na wao wanamiliki hizo bar

Inasikitisha sana
 
Vyombo vinavyohusika wanetulia

1,500/= inasaidia nini? Au na wao wanamiliki hizo bar

Inasikitisha sana

Mama vyombo unavyikusudia havipo yapo majina tu

Labda uwe unazungumzia masufuria

Kama unamaanisha serikali na vitengo vyake ni kama hatuna kabisaaaa!!!!
 
Vyombo vinavyohusika wanetulia

1,500/= inasaidia nini? Au na wao wanamiliki hizo bar

Inasikitisha sana

My shemeji, na huyo anaishi Dar hii.. Wana taabu wale acha tu. Mkiona tunawaachia chenji sometime mjue we are doing a "humane thing" . Kama mamlaka ndo hzo zimekamatwa na wafanyabiashara unategemea nini. Unakumbuka issue ya Chenge with those two girls and the Bajaji......e.t.c!??
c.c Asprin.
 
Last edited by a moderator:
Mama vyombo unavyikusudia havipo yapo majina tu

Labda uwe unazungumzia masufuria

Kama unamaanisha serikali na vitengo vyake ni kama hatuna kabisaaaa!!!!

Kweli baba paroko, labda kama anaongelea "government utensils" na sio "government entities"
 
Back
Top Bottom