Mshahara wa Agosti 2019

🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️
 
lingetengwa jukwaa maalum kwaajili ya wanaopokea mshahara tu, maana sisi tuliopo mtaani tuna Jukwaa letu la ajira pia
Mtaani unazurura tu?
Ujue hata Bakkresa ana mshahara wake.
 
Mkuu tayari NMB nimeona watu wameanza miminika,kachukue chako
 
Mtoa mada amezungumzia mshahara Wa watu jamii ya bakhresa?
Nampa mfano tu kwamba kufanya shughuli zako hakumaanishi usiwe na mshahara.

Najua jamii zetu hizi hawajui kwamba hata akiwa na biashara ndogo kiasi gani lazima ajipangie mshahara. Labda ni somo la siku nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…