884kHivi Gross ya 1.3M takehome ni ngapi?
Ukiondoa bodi ya mkopo, NSSF na TRA
Upo sahihi884k
NET=1'300'000 less (130'000 + 233'100 + HESLB)Hivi Gross ya 1.3M takehome ni ngapi?
Ukiondoa bodi ya mkopo, NSSF na TRA
Hivi Gross ya 1.3M takehome ni ngapi?
Ukiondoa bodi ya mkopo, NSSF na TRA
Paye 18% au unafananisha na Vat?PAYE 18%+Loan board 15%+NSSF 10%+Insurance 42000/=+vyama vya wafanyakazi 20,000+=approx. 803000/=
PAYE sio 18%PAYE 18%+Loan board 15%+NSSF 10%+Insurance 42000/=+vyama vya wafanyakazi 20,000+=approx. 803000/=
Nakujibu Kama Payroll Accountant ambae kazi ya Kulipa mishahara ndio my main daily duty. Kwanza kabisa taarifa ulizoweka ni chache sana kaka yangu. So itabidi taarifa zingine niwe na assume tu.Hivi Gross ya 1.3M takehome ni ngapi?
Ukiondoa bodi ya mkopo, NSSF na TRA
Amesema tuweke HESLB Loan. Summary ya computations hizo ndio nimemwekea screen shot ya sample salary slip.Nakujibu Kama Payroll Accountant ambae kazi ya Kulipa mishahara ndio my main daily duty. Kwanza kabisa taarifa ulizoweka ni chache sana kaka yangu. So itabidi taarifa zingine niwe na assume tu.
Assumption #1
Tzs 1,300,000/= ni gross (basic + all other benefits).
Assumption #2
Hauna mkopo wa HESLB
Assumption #3
Uko Private, au unachangia NSSF
Deductions,
NSSF = 10% X 1,300,000/=
= 130,000/=
So Taxable
= 1,300,000 - 130,000
= 1,170,000
PAYE
= (1,170,000-720,000) x30% +89,100
= 450,000 x30% + 98,100
= 135,000 + 98,100
= 233,100
Net Salary
= 1,300,000- 130,000-233,100
= 1,300,000- 363,100
= 939,900/=
Nimekuingizia kwenye payroll software.
Salary slip yako itakuwa na mfanano huu.
View attachment 1173130
Uko sahihi kabisaNimekuingizia kwenye payroll software.
Salary slip yako itakuwa na mfanano huu.
View attachment 1173130