Mshahara wa 1.3M take home ni bei gani?

MENISON

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
726
622
Hivi Gross ya 1.3M takehome ni ngapi?
Ukiondoa bodi ya mkopo, NSSF na TRA
 
Nimekuingizia kwenye payroll software.

Salary slip yako itakuwa na mfanano huu.

20190805_185913.jpeg
 
Hivi Gross ya 1.3M takehome ni ngapi?
Ukiondoa bodi ya mkopo, NSSF na TRA
Nakujibu Kama Payroll Accountant ambae kazi ya Kulipa mishahara ndio my main daily duty. Kwanza kabisa taarifa ulizoweka ni chache sana kaka yangu. So itabidi taarifa zingine niwe na assume tu.

Assumption #1
Tzs 1,300,000/= ni gross (basic + all other benefits).

Assumption #2
Haulipi NHIF wala vyama vya wafanyakazi

Assumption #3
Uko Private, au unachangia NSSF

Deductions,
NSSF = 10% X 1,300,000/=
= 130,000/=

So Taxable
= 1,300,000 - 130,000
= 1,170,000

PAYE
= (1,170,000-720,000) x30% +98,100
= 450,000 x30% + 98,100
= 135,000 + 98,100
= 233,100

HESLB
=1,300,000 X 15%
=195,000/=

Net Salary
= 1,300,000- 130,000-233,100-195,000
= 1,300,000- 363,100-195,000
= 741,900/=
 
Nakujibu Kama Payroll Accountant ambae kazi ya Kulipa mishahara ndio my main daily duty. Kwanza kabisa taarifa ulizoweka ni chache sana kaka yangu. So itabidi taarifa zingine niwe na assume tu.

Assumption #1
Tzs 1,300,000/= ni gross (basic + all other benefits).

Assumption #2
Hauna mkopo wa HESLB

Assumption #3
Uko Private, au unachangia NSSF

Deductions,
NSSF = 10% X 1,300,000/=
= 130,000/=

So Taxable
= 1,300,000 - 130,000
= 1,170,000

PAYE
= (1,170,000-720,000) x30% +89,100
= 450,000 x30% + 98,100
= 135,000 + 98,100
= 233,100

Net Salary
= 1,300,000- 130,000-233,100
= 1,300,000- 363,100
= 939,900/=
Amesema tuweke HESLB Loan. Summary ya computations hizo ndio nimemwekea screen shot ya sample salary slip.
Nimekuingizia kwenye payroll software.

Salary slip yako itakuwa na mfanano huu.

View attachment 1173130
 
Back
Top Bottom